
Stuttgart,Ujerumani,
Usiku wa Jumamosi ya Tarehe 30.Augost
2014, majira ya saa 10
Alfajiri
Mwanamuziki nyota wa Bongo Flaver Nasib Abdul aka Diamond Platnumz
alijikuta
katika hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi mjiniStuttgart,Ujerumani,baada
yawashabiki waliokuwa na hasira
kuchoka
kusubiri show.Washabiki hao waliokuwa wamelipa
ticket
euro 25 kwa kiingiliowaliahidiwa kuwa show ingeanza saa
4.00
usiku,lakini walijikutawakisubiri hadi majira ya saa 10 usiku au alfajiri ndipo
mwanamuzikiDiamond alipoletwa jukwaani na promota wake Mr.Awin Williams
Akipomiemie
raia wa Nigeria anajiitakama Britts Event.
Hapo
ndipo washabiki hao walipoona kuwa hawakutendewa haki walianza
kurusha chupa na kutaka kumvamia
mwanamuziki Diamond na promota
wake,
Kilichowakera zaidi washabiki ni
pamoja na vyombo vibovu vilivyofungwa
katika ukumbi huo kitu ambacho
kiliwafanya washabiki kuvunja hadi
vyombo vya muziki
ma-Djs walishambuliwa na wapo
Hosptalini kwa sasa.
Moja wa Djs hao alipoteza Lap top
yake ,mwanadada DJ Flor alipatwa shock
mstuko wa moyo na kukimbizwa
hosptali, washabiki hao walimpa kipigo
DJ Drazee naye yupo hoi hospatal.
Polisi nchini Ujerumani wamesema
tukio hili la aibu halijawahi
kutokea,kwani msanii kuchelewa
kufika jukwaani kwa ujerumani ni kitu
cha hatari sana,kwani washabiki
wa ujerumani wanaheshimu sana muda
wao.
mpaka sasa polisi wanamsaka
mwandaaji wa onyesho hilo na wamesema
kuwa
wanachunguza thamani ya hasara
iliyosababishwa na ghasia hizo na pia
itamfungulia mashataka promoter
huyo raia wa Nigeria,ambaye pia
anachunguzwa kwa kusemekana
anajihusisha na mtandao fulani wa biashara
Hivi
ndivyo ukumbi huo ulivyokuwqa baada ya tafrani hiyo.
Magazeti
ya Stuttgart; yameandika "Washabiki wana hasira nawe
No comments:
Post a Comment