Rodriguez sasa atua madrid kwa £60million
Real Madrid wamekubali kumsainisha mshindi
wa kiatu cha dhahabukatika kombe la dunia lililomalizika hivi
karibuni nchini Brazi, JamesRodriguez kutoka Monaco.
Mchezaji huyo wa Colombia amesaini mkataba
wa miaka sita na timu hiyo na alifanyiwa vipimo Jana
Nipo Fiti
Madrid imelipa dau la £60million, na
kuufanya uhamisho wa Rodriguez kushika
nafasi ya nne katika orodha ya uhamisho ghali zaidi kwenye historia ya soka
baada ya Gareth Bale, Cristiano Ronaldo na Luis Suarez.
No comments:
Post a Comment