Mabingwa
Bundesliga Bayern Munich wametangaza kukubaliana na mabigwawa Ulaya klabu ya
Real Madrid juu ya uhamisho wa Kiungo mkongwe Xabi Alonso, kuziba nafasi za
majeruhi zilizo wachwa na Javi Martinez, Bastian Shwanstiger na Thiago
Alcantara.

Akithibitisha mbele ya
waandishiwa Habari, mkurugenzi wa bodi ya Bayern munich,
Jan-ChristianJeseen, amesema kuwa klabu hizo zimekubaliana kuhusu
uhamisho wa kiungo huyo mwenye umri wamika 32 na anafanyiwa vipimo vya afya leo
Agosti 28, 2014.
Alonso alijiungana
Real Madrid mwaka 2009, akitokea Liverpool na kufanikiwa kuichezea m
Madrid mechi zaidi ya
200, mkataba wa awali wa Alonso ulikuwa unamalizika mwaka 2016, lakini
analazimika kuondoka Santiago Bernabeukutokana na ugumu wanafasi katika kikosi
cha kwanza cha Carlo Anchelloti kutokana na uwepo wa Toni Kroos aliye jiunga
naklabu hiyo akitokea Bayern Munich Julai mwakahuu.
No comments:
Post a Comment