Tuesday, August 12, 2014

RIHANA SASA KUNUNUA KLABU YA LIVERPOL

Hivi karibuni kulikuwa na ripoti kuwa muimbaji wa ‘Diamond’ Rihanna ana mpango wa kununua klabu ya soka ya nchini Uingereza lakini haikufahamika ni ipi.

Na Jumanne hii gazeti la El Mundo Deportivo limethibitisha kuwa klabu hiyo ambayo Riri anataka kuinunua si nyingine bali ni Liverpool! Hiyo ni baada ya muimbaji huyo kupewa ushauri na mshambuliaji wa Chelsea,  Didier Drogba wa klabu ipi anaweza kuinunua.
Liverpool inamilikiwa na kampuni ya Marekani, Fenway Sports Group.

No comments:

Post a Comment