Linex
Sunday Mjeda ameingia kwenye orodha ya baadhi ya wanamuziki wa Tanzania ambao
tayari wameamua kuweka wazi nia na
mipango waliyonayo ya kujihusisha moja kwa moja na mambo ya siasa .
Akizungumza
na Soudy Brown katika U Heard ya Clouds FM ya Agosti 6, Linex amesema amejiunga
na chama kipya kiitwacho ACT , na ana mpango wa kugombea ubunge ifikapo mwaka
2020.
Linex amesema
ameamua kujiunga na chama hicho
kipya kumsupport mbunge maarufu Zitto Kabwe
Ndio
mwenyekiti wetu na tuta deal nae, kwasababu ni kijana kama sisi, ana support
mipango yetu so hakuna sababu yoyote ya kushindwa kumsupport kijana mwenzako.
Kwahiyo mimi nitamsupport Zitto kwasababu ana support mipango yangu pia kwahiyo
I’am in, ACT baby”. Alisema Linex
No comments:
Post a Comment