
Arsenal ndio mabingwa wa Ngao ya Hisani baada ya kuinyuka Manchester City 3-0 katika uwanja wa Wembley..
Arsenal wamekuja kivingine msimu huu baada ya kufanya usajili wa maana.Hongera sana Arsernal-Washika mtutu wa London.

Theo Walcott and Aaron Ramsey ni miongoni mwa wafungaji wa leo.

Yaya Toure akijaribu kuwapita Aaron Ramsey na mwenzake.

Theo Walcott akijaribu kumpita Joe Hart .
No comments:
Post a Comment