
Damu ya Afrika aliyonayo Akon inamfanya kuifikiria Afrika mara kwa mara huku akifanya jitihada za kuisaidia kadri awezavyo.
Mwimbaji huyo ameweka wazi kupitia Instagram kuwa mwezi
September yeye na watu wake watakuwa nchini Kenya ili kuweka katika uhalisia
mipango mingi waliyopanga na rais Uhuru Kenyatta baada ya kumtembelea katika
ubalozi wa Kenya nchini Marekani.
“Visiting President Kenyatta of Kenya. He has great visions for
Kenya and we shall be there in September to discuss how to make those vision
come to life. 1” Ameandika Akon katika post ya picha akiwa na rais Kenyatta.

Akon akiwa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
Akon anaendelea na kampeni yake ya kuisaidia Afrika inayotumia slogan ya
‘Akon Lighting Africa’.
No comments:
Post a Comment