kibarua chake cha kukinoa kikosi hicho baada ya kupata ushindi wa goli
7-0 dhidi ya Los Angeles Galaxy katika mchezo wa kirafiki uliochezwa
nchini Marekani.
Man U walionekana kucheza soka la kuelewana zaidi ambapo mpaka wanakwenda mapumziko walikuwa wakiongoza mabao matatu kwa sifuri.
atika kipindi cha pili Man United walionesha kubadilika kwa kiwango
cha hali ya juu, ambapo walilishambulia lango la Los Angeles Galaxy na
kufanikiwa kupata mabao mengine manne na hivyo kufikisha idadi ya mabao
saba kwa sifuri mpaka dakika 90 zilipomalizika.
Mabao ya Man United katika mchezo huo ambao kwa saa za hapa nyumbani
Afrika mashariki umechezwa majira ya alfajiri lakini kwa huko Marekani
ilikua ni usiku, yamefungwa na Danny Welbeck huku Wayne Rooney, Reece
James na Ashley Young wakifunga mabao mawili kila mmoja.
No comments:
Post a Comment