Thursday, July 24, 2014

Cheki kituko cha Joti baada ya Mkwe kumkatalia kuoa binti yake.

Huyu ni msaanii mwigizaji wa kikundi cha Original Komedi. Afanikiwa kwa kiasi kikubwa kukonga nyoyo za watanzania wengi kwa kipaji chake hiki cha uchekeshaji
Tazama alichofanya hapa chini baada ya kukataliwa kumuoa binti aliemzimia.


No comments:

Post a Comment