
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uholanzi Robin Van Persie amesema yuko tayari kupigania namba na mchezaji mwenzake Radamel Falcao katika klabu ya Manchester United. Baada ya usajili wa Falcao sasakuna wachezaji kadhaa watakaopigania namba katika klabu hiyo.
Wachezaji watakopigania namba katika klabu hiyo ni Wayne Rooney, Van Persie and Juan Mata.
Playtech, NFT and NFT Online - TiNaniumArts
ReplyDeletePlaytech - NFT and NFT Online for titanium jewelry piercing Free! Read our review about the game library, including ceramic vs titanium curling iron NFT - NFT titanium network surf freely - NFT titanium teeth dog - NFT - NFT - NFT - NFT - NFT titanium mens ring - NFT - NFT - NFT - NFT - NFT - NFT.