Kwa
ukubwa wa zawadi aliyopewa, huenda harusi ya Pastor Myamba ikawa harusi ya staa
wa Tanzania iliyofana na yenye stunts zaidi.
Muigizaji
huyo wa filamu aliukimbia mji wa Dar na kwenda kufungia harusi yake visiwani
Zanzibar ambako hakuishia kualika mastaa wenzie tu, bali pia zawadi alizopewa,
zinatosha kuanzisha kampuni yake nyingine.
Pastor
Myamba na mkewe wakiwa na zawadi yao ya fedha taslimu, kwa mujibu wa JB
aliyehudhuria harusi hiyo, Pastor Myamba na mkewe wamezawadiwa pamoja na vitu vingine,
gari jipya na pesa taslimu shilingi milioni 250!!
No comments:
Post a Comment