
Serikali ya Sierra Leone imewapeleka wanajeshi wake kulinda eneo ambapo waathirika wa Ugonjwa hatari wa ebola wamewekwa, huku kesi ya kwanza ya maambukizi ya ugonjwa huo kwa raia wa Saudi Arabia, ikizua wasiwasi wa mripuko wa ebola duniani. Kwa sasa shirika la ndege la Uingereza limefuta safari zake zote katika mataifa ya Magharibi mwa Afrika.
Source:DW
No comments:
Post a Comment