
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekamata watuhumiwa 10 wa ujambazi, wakiwamo wanawake wawili waliokutwa na silaha nane za kivita kufuatia msako uliofanywa na jeshi hilo.Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema majambazi hao walikuwa katika mtandao wa ujambazi wa kufanya uhalifu katika maeneo tofauti.
Source:EATV.
No comments:
Post a Comment